Sisi Wana wa Dunia (Usia wa Maria) - P. F. Mwarabu | Mwezi wa rozari | Sauti Tamu Melodies
Автор: Sauti Tamu
Загружено: 17 июл. 2022 г.
Просмотров: 1 794 237 просмотров
Sisi wana wa dunia tukumbuke maneno aliyosema Bikira Maria
Alipowatokea watoto wa Fatima, Lucia, Francis na Yasinta,
Alisema tusali, tusali rozari, tupate amani
Na tuwaombee, wale wakosefu, wasio na mwombezi
Na wasiomwamini Yesu Mwokozi wamuamini ili waokoke
wimbo wa Bikira Maria
Nyimbo nyingine za Mama Maria ni Umsihi Mwanao Yesu, Ee Mama Yetu Maria, pamoja na malaika, ewe nama maria, ninakupenda maria na nyinginezo.
wimbo umetungwa na P F Mwarabu, umeandaliwa na Martin Munywoki na kuimbwa na Sauti Tamu Melodies
Fuatilia nyimbo nyingine tamu kwenye channel hii.
usisahau kusubscribe

Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: