+
Автор: Frida Homestead
Загружено: 2022-12-12
Просмотров: 359
Mifugo ni kama watoto, wanahitaji kuangaliwa mara kwa mara na kutibiwa pale wanapoonyesha dalili za ugonjwa. Unaweza kutumia muda wako au kuwaajili watu wa kuweza kuangalia mifugo wakati unapokuwa haupo. Maana bila usimamizi madhubuti mfugaji utaishia kupata hasara.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: