Yanga 1-0 Tanzania Prisons | Highlights | NBC Premier League 04/12/2022
Автор: Azam TV
Загружено: 2022-12-04
Просмотров: 348801
Goli pekee la dakika ya 89 kutoka kwa Feisal Salum limeipa Yanga pointi tatu muhimu wakiipiga Tanzania Prisons 1-0 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Kwenye goli lenyewe wamehusika pia Djuma Shaban, Bernard Morrison, Khalid Aucho na Farid Mussa.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: