RASMI! BANDARI YA MALINDI ZANZIBAR YAKABIDHIWA kwa WAFARANSA, UFAFANUZI WA MKATABA WAWEKWA WAZI
Автор: Wasafi Media
Загружено: 2023-09-11
Просмотров: 7266
RASMI! BANDARI YA MALINDI ZANZIBAR YAKABIDHIWA kwa WAFARANSA, UFAFANUZI WA MKATABA WAWEKWA WAZI
Wakati malumbano yakiendelea Tanzania Bara kuhusu mkataba wa Bandari huku Zanzibar hali iko tofauti ambapo Bandari ya Malindi visiwani Zanzibar ifikapo Septmeba 18, mwaka huu itaanza rasmi kuendeshwa na kampuni ya Africa Global Limited ya Ufarsana kwa mkataba wa miaka mitano ambapo shughuli zote zitafanywa na kampuni hiyo huku mapato yatokanayo na bandari hiyo kugaiwa serikali asilimia 30 na asilimia 70 kuchukuliwa na kampuni ya AGL
https://www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: