Mbinu ya kufanya harusi kwa gharama ndogo
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2020-02-15
Просмотров: 3857
#Harusi #BwanaHarusi #BibiHarusi #Mwamposa
#SimpleWeddingMarriage
Kama una mpango wa kuoa au kuolewa mwaka huu 2020 au pengine kuna ndugu, jamaa au rafiki yako wanatarajiwa kufanya tukio hilo, basi ni vyema ufahamu au ukawafahamisha kuwa kuna uwezekano wa kufanya harusi ya kipekee kwa bajeti ndogo.
Siri iliyo nyuma ya ufanisi huo ni kuwa mbunifu na mjanja kwenye kuandaa bajeti yako.
Lakini kama wewe unataka harusi ya kukata na shoka kama Waswahili wanavyosema, basi jipange pia ili uifurahie siku yako hiyo ambayo yaweza kuwa ndiyo siku ya pekee maishani mwaka. @DailyNewsDigital
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: