KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA KUPIGA VITA MATUMIZI NA BIASHARA YA DAWA ZA KULEVYA
Автор: DCEA TV
Загружено: 2025-06-26
Просмотров: 1310
Karibu uungane nasi mubashara katika Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya yanafanyika leo tarehe 26 Juni, 2025 katika ukumbi wa Jakaya Conventional Centre Dodoma. Maadhimisho haya yanalenga kuihamasisha jamii kushiriki kikamilifu katika mapambano dhidi ya tatizo la dawa za kulevya. Mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho haya anatarajiwa kuwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .
Kauli mbiu ya maadhimo haya ni " Wekeza kwenye kinga na tiba dhidi ya dawa za kulevya".
Usisahau Kusubscribe, kulike na kushare.
KataaDawaZaKulevyaTimizaMalengoYako #SikuYaKupigaVitaDawaZaKulevya #dodoma
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: