MAOMBI YA ASUBUHI | BWANA pigana nao
Автор: Maombi Ya Asubuhi
Загружено: 2024-02-06
Просмотров: 604763
Fanya maombi haya kila siku asubuhi unapoianza siku yako mpya.
Zaburi 35:1-7 | Ee Bwana, utete nao wanaoteta nami, Upigane nao wanaopigana nami. Uishike ngao na kigao, Usimame unisaidie. Uutoe na mkuki uwapinge wanaonifuatia, Uiambie nafsi yangu, Mimi ni wokovu wako. Waaibishwe, wafedheheshwe, Wanaoitafuta nafsi yangu. Warudishwe nyuma, wafadhaishwe, Wanaonizulia mabaya. Wawe kama makapi mbele ya upepo, Malaika wa Bwana akiwaangusha chini. Njia yao na iwe giza na utelezi, Malaika wa Bwana akiwafuatia. Maana bila sababu wamenifichia wavu, Bila sababu wameichimbia shimo nafsi yangu.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: