Mbinu tatu za kufuata ili kusoma somo lolote na kukumbuka ulichosoma - Mr Tukrim Ameir
Автор: TUKI - Kuza Akili Yako
Загружено: 2021-09-18
Просмотров: 25684
Katika video hii utaweza kujifunza kanuni tatu za kisaikolojia ambazo zitapelekea kusoma masomo yako kwa wepesi ili ufaulu vizuri masomo yako.
Kanunu zenyewe ni
Mindset
Motivation
Methods
MINDSET
Hii inaeleza kuwa ili mwnafunzi afanikiwe anatakiwa kuielekeza akili yake katika jambo analosoma ikiwa ni masomo ya shule au ujuzi wowote ule.
MOTIVATION
Kanuni hii inaeleza umuhimu wa hamasa katika kujenga akili ili mwanafunzi aweze kufanikiwa katika masomo yake. hamasa huwa zinatofautaiana baina ya watu kwa sababu inatokana na mambo ambayo kila mtu anayatamani.
METHODS
wanafunzi wengi huwa wanafeli mitihani yao kwa sababu hawaelewi njia sahihi za kusoma. kwa hivyo wanafunzi wanatakiwa kujifunza njia bora za kusoma masomo yao.
kwa kuzingatia kanuni hizi tatu wanafunzi wanaweza kusoma masomo yao kwa wepesi haijaalishi somo hilo litakuwa na ugumu gani kwao.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: