NASAHA ZA MSHAIRI - NAWAACHA WAKE WOTE NABAKI NA MMASAI
Автор: ISTIQAMA SWAHILI TV
Загружено: 2025-11-16
Просмотров: 77
Hapa tutasoma mashairi mbalimbali kutoka kwa watazamaji wetu, yakighaniwa kwa sauti nzuri na zenye mvuto – mashairi yatakayoburudisha, kuelimisha na kugusa nyoyo, pia unaweza kushiriki kwa kutuuma mashairi yako mapema kabla ya kupindi kuanza kupitia namba yetu ya WhatsApp +255 652 523 542, au kupiga simu kipindi kikiwa LIVE na mashairi yako yasikike hewani.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: