E HABARI/KANISA KATOLIKI LATOA WITO WA KUTHAMINI HAKI YA KUISHI /DEC 25 2025
Автор: EFM TANZANIA
Загружено: 2025-12-25
Просмотров: 103
WAUMINI wa Kanisa Katoliki nchini wameungana na wauminini wengine duniani kuadhimisha Sikukuu ya Krismasi, katika kusherehekea kuzaliwa kwa Yesu Kristo, kwa kutoa wito wa kuendelea kulinda na kuthamini haki ya mtu kuishi ili kuendelea kuenzi Sikukuu ya kuzaliwa Kristo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: