Maendeleo ya Makueni
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-01-23
Просмотров: 104
Serikali ya Makueni imetoa ripoti ya maendeleo ya miaka mitatu ya kaunti hiyo. Ripoti hiyo inaonyesha kuwa shilingi bilioni 10.26 zimetumika kutekeleza miradi 1,430 katika wadi 30 za kaunti hiyo. Gavana Mutula analalamikia kucheleweshwa kwa mgao wa kaunti, akisema ni kikwazo kikubwa cha kuafikia maendeleo mashinani.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: