ASIMULIA ALIVYOACHA UIMAMU wa MSIKITI na KUWA NABII KANISANI - "Niliamua KUJIUA KULIKO KUWA MKRISTO"
Автор: Global TV Online
Загружено: 2023-05-29
Просмотров: 106336
ASIMULIA ALIVYOACHA UIMAMU wa MSIKITI na KUWA NABII KANISANI - "Niliamua KUJIUA KULIKO KUWA MKRISTO"
Isaac Paul Hammoud au Nabii IPM ni Mtumishi wa Mungu ambaye awali alikuwa muumini mwenye itikadi kali ya Dini ya Kiislam lakini sasa ni nabii.
Kwa Mujibu wa Nabii IPM mwenye kanisa lake maeneo ya Mbuyuni, Mbezi-Beach jijini Dar anasema kuwa siyo kwamba kwenye Uislam kuna tatizo, hapana, bali alitii wito wa Mungu.
Anasema kuwa, katika kutii wito huo, alijikuta kwenye nyakati ngumu ikiwemo hatua ya kujaribu kujiua kwani hakuwa rahisi hata kidogo.
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: