MAANA, MAANDALIZI, NINI CHA KUFANYA KATIKA KIPINDI HIKI CHA MAJILIO. Na. Shemasi Livin Matumaini.
Автор: Wana wa mungu Community
Загружено: 2025-11-29
Просмотров: 45
Karibu Katika channel ya Wana wa Mungu, hapa utapata Tafakari za Jumapili, Mafundisho msingi ya Kanisa na mambo mbalimbali ya kiroho. Lengo kubwa la utume wetu ni Kukomaa na Kubadilika katika Kristu.
Tuna Community Whatsapp ambayo kuna vipindi mbalimbali vinaendelea, Tafadhali jiunge na Jumuiya hii ili kukua Kiroho.
Utume huu unawezeshwa na Mapadre kutoka Majimbo tofauti tofauti hapa Tanzania, Mashemasi, Mafrateli, Watawa, na Waamini leo, wanaopenda kuinjilisha hasa kwa kutumia njia za kimtamdao.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: