Mikopo Elimu ya Juu Yajadiliwa Bungeni I Mbunge Biharamulo Akomalia I Atoa Mfano kwa Mwananfunzi
Автор: CLOUDSMEDIA
Загружено: 2022-11-01
Просмотров: 4285
Mbunge wa Biharamulo Magharibi Mhe. Mhandisi Ezra Chiwelesa, amesimama Bungeni kutoa hoja yake kuhusu utoaji wa mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu nchini ili Bunge liweze kujadili.
Mbunge Biharamulo Magharibi Mhe. Mhandisi Chiwelesa, ametoa hoja hiyo kwa kusema wapo Wanafunzi waliokidhi vigezo vya kupata mkopo lakini hawapewi, Mbunge huyo alitolea mfano kwa Mwanafunzi aliyesoma Shule ya Sekondari Msalato Kidato cha Kwanza aliapata daraja la kwanza (Division 1), kidato cha sita alipata daraja la kwanza (Division 1) na kupangiwa kusoma Udaktari ambao Ada yake ni Milioni 5 lakini amekosa mkopo.
Hivyo hoja hiyo imeungwana mkono na Spika Mhe. Dkt. Tulia Ackson, ameruhusu mjadala juu ya hoja hiyo kwa Wabunge kuujadili kwa kuchangia.
#KutokaBungeni
#Fiesta2022 #WekaManeno
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: