Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

RAIS SAMIA AUFUFUA MRADI WA MWAKA 1930 ULIOPO CHUO CHA UFUNDI ARUSHA

Автор: Arusha Technical College

Загружено: 2023-08-12

Просмотров: 15734

Описание:

Serikali ya Tanzania kupitia Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) inatekeleza mradi wa ujenzi wa Kampasi yake ya Kikuletwa ambayo hapo mwanzo ilikua kituo cha kuzalisha umeme kilichoanzishwa na serikali ya ujerumani mwaka 1930.
Mradi huo wa ujenzi uliopo wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro unatekelezwa kupitia mradi wa Afrika Mashariki wa kujenga ujuzi kwa mlingano na uingiliano wa kikanda (EASTRIP) unaofadhiliwa na Benki ya Dunia unalenga kuboresha kampasi hiyo kuwa kituo cha umahiri kwenye nishati jadidifu.
Akizungumza baada ya kufanya ziara kwenye Kampasi hiyo na kukagua ujenzi unaoendelea, Mkuu wa Wilaya ya Hai Mhe. Amiri Mohamed Mkalipa amesema mradi huo umeibuliwa na Rais Samia kutokana na tija itakayokuja kupatikana hapo.
“Tunamshukuru Mhe. Rais kwa sababu mradi huu ni wa tangu 1930, sasa Mhe Rais ameliibua wazo hili na kulitekeleza leo, wazo la 1930, mradi ni mzuri sana tunawapongeza wenzetu wa Arusha Technical chini ya Mkuu wa Chuo wanasimamia vizuri, majengo yamekwenda vizuri na viwango vimezingatiwa” alisema Mhe. Mkalipa.
Aidha ameongeza kuwa “ sisi kama serikali tunaangalia tija itakayokuja kupatikana hapa, kwa mkupuo mmoja hapa watasoma wanafunzi karibu 600, na hao ni wanafunzi wadogo, Chuo hiki dhamira yake ni kutengeneza vijana wa kitanzania waende kwenye mradi mkubwa wa Bwawa la Mwalimu Nyerere na bahati nzuri imeangukia kwenye Wilaya yetu ya Hai” aliongeza Mhe. Mkalipa.
Naye Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha Dkt. Musa Chacha amesema Kampasi hiyo baada ya kukamilika itaweza kuzalisha wataalamu watakaoweza kukidhi vigezo kufanya kazi katika nchi za Afrika Mashariki.
“Mradi huu ni wa Afrika Mashariki, vituo hivi vya umahiri vipo Tanzania, Kenya na Ethiopia, jukumu tulilopewa Chuo cha Ufundi Arusha ni kuandaa vijana watakaofanya kazi Afrika Mashariki na duniani kote” alisema Dkt. Chacha.
Chuo cha Ufundi Arusha kilipokea jumla ya shilingi Bilioni 37 za Tanzania kupitia Mradi wa EASTRIP ulioko chini ya Benki ya Dunia ili kuboresha Kampasi yake ya Kikuletwa kuwa kituo cha Umahiri kwenye sekta ya nishati jadidifu

#Kikuletwa
#wilayayaHai
#mradi
#arusha_technical_college
#Chuo_cha_Ufundi_Arusha

RAIS SAMIA AUFUFUA MRADI WA MWAKA 1930 ULIOPO CHUO CHA UFUNDI ARUSHA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

𝐔𝐰𝐞𝐤𝐞z𝐚j𝐢 𝐈𝐝𝐚𝐫𝐚 𝐘𝐚 𝐔𝐡𝐚𝐧𝐝𝐢𝐬𝐢 𝐌𝐚𝐠𝐚𝐫𝐢, 𝐂𝐡𝐮𝐨 𝐂𝐡𝐚 𝐔f𝐮𝐧𝐝𝐢 𝐀𝐫𝐮𝐬𝐡𝐚

𝐔𝐰𝐞𝐤𝐞z𝐚j𝐢 𝐈𝐝𝐚𝐫𝐚 𝐘𝐚 𝐔𝐡𝐚𝐧𝐝𝐢𝐬𝐢 𝐌𝐚𝐠𝐚𝐫𝐢, 𝐂𝐡𝐮𝐨 𝐂𝐡𝐚 𝐔f𝐮𝐧𝐝𝐢 𝐀𝐫𝐮𝐬𝐡𝐚

KIJANA WA MIAKA 32 ANAYEMILIKI MALORI 7 YA FAW, ALIKOPA KWA KUTUMIA NYUMBA AKAMFICHA MKEWE

KIJANA WA MIAKA 32 ANAYEMILIKI MALORI 7 YA FAW, ALIKOPA KWA KUTUMIA NYUMBA AKAMFICHA MKEWE

#TBC1 WEKEZA TANZANIA: KIWANJA CHA NDEGE ARUSHA BAADA YA UWEKEZAJI WEKE

#TBC1 WEKEZA TANZANIA: KIWANJA CHA NDEGE ARUSHA BAADA YA UWEKEZAJI WEKE

KADOGOO WA ARUSHA AZINDUA NYUMBA YA MAMILIONI,WATU ELFU MBILI WAINGIA, AFANYIWA MILA YA KIMASAI

KADOGOO WA ARUSHA AZINDUA NYUMBA YA MAMILIONI,WATU ELFU MBILI WAINGIA, AFANYIWA MILA YA KIMASAI

MAKALA: MABADILIKO YA JIJI LA DODOMA KWA SASA...DODOMA FAHARI YA WATANZANIA..

MAKALA: MABADILIKO YA JIJI LA DODOMA KWA SASA...DODOMA FAHARI YA WATANZANIA..

MAFUNZO YA UDEREVA NA FURSA ZAKE ( RADIO TALK SHO𝑾)

MAFUNZO YA UDEREVA NA FURSA ZAKE ( RADIO TALK SHO𝑾)

SHULE YA SEKONDARI PATANDI MAALUM YATEMBELEA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA (ATC)

SHULE YA SEKONDARI PATANDI MAALUM YATEMBELEA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA (ATC)

Врач раскрывает СЕКРЕТ, как не вставать ночью в туалет

Врач раскрывает СЕКРЕТ, как не вставать ночью в туалет

MAKONDA ALIVYOCHARUANA na BOSI wa MAJI ARUSHA - WANANCHI WASHUHUDIA.

MAKONDA ALIVYOCHARUANA na BOSI wa MAJI ARUSHA - WANANCHI WASHUHUDIA.

Shule ya Sekondari ya Oloirien  ya tembelea ATC

Shule ya Sekondari ya Oloirien ya tembelea ATC

AFYA TIPS:JE UNAJUA KUPALIWA KUNA WEZAFANYA MTU KUPOTEZA MAISHA 24/10/2022

AFYA TIPS:JE UNAJUA KUPALIWA KUNA WEZAFANYA MTU KUPOTEZA MAISHA 24/10/2022

Mjue Mhandisi Bahati Sulle

Mjue Mhandisi Bahati Sulle

НАЧАЛО СТРОИТЕЛЬСТВО СТАДИОНА «ДОДОМА»

НАЧАЛО СТРОИТЕЛЬСТВО СТАДИОНА «ДОДОМА»

18 МЕГАПРОЕКТОВ КИТАЯ, КОТОРЫЕ ИЗМЕНЯТ МИР

18 МЕГАПРОЕКТОВ КИТАЯ, КОТОРЫЕ ИЗМЕНЯТ МИР

RISASI YAFYATULIWA ARUSHA MUDA HUU KUTAWANYA MAJAMBAZI WAWILI, PIKIPIKI YACHOMWA KATIKATI YA MJI

RISASI YAFYATULIWA ARUSHA MUDA HUU KUTAWANYA MAJAMBAZI WAWILI, PIKIPIKI YACHOMWA KATIKATI YA MJI

#TAZAMA| B14 ZILIVYOBADILI CHUO CHA UFUNDI ARUSHA, WABUNIFU, WANAFUNZI WAIPONGEZA SERIKALI

#TAZAMA| B14 ZILIVYOBADILI CHUO CHA UFUNDI ARUSHA, WABUNIFU, WANAFUNZI WAIPONGEZA SERIKALI

UWANJA WA AFCON ARUSHA WAFIKIA PAKUBWA, WACHINA WASHEREHEKEA, RC KIHONGOSI, MWANA FA WASHUHUDIA

UWANJA WA AFCON ARUSHA WAFIKIA PAKUBWA, WACHINA WASHEREHEKEA, RC KIHONGOSI, MWANA FA WASHUHUDIA

MIRAJI|KUPOTEZA WACHEZAJI WAZURI KAWAIDA YETU|TUMEDHALILISHWA NA NI SOMO KWA VIONGOZI WANASIMBA

MIRAJI|KUPOTEZA WACHEZAJI WAZURI KAWAIDA YETU|TUMEDHALILISHWA NA NI SOMO KWA VIONGOZI WANASIMBA

Мухаммед Али против Ивана Драго! Этот Бой не Забыть...

Мухаммед Али против Ивана Драго! Этот Бой не Забыть...

ИСТЕРИКА ВОЕНКОРОВ. Z-ники в ярости из-за приезда Зеленского в Купянск. Требуют отставки Герасимова

ИСТЕРИКА ВОЕНКОРОВ. Z-ники в ярости из-за приезда Зеленского в Купянск. Требуют отставки Герасимова

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]