Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

MABASI YA MWENDOKASI YAMVURUGA WAZIRI MKUU, ATINGA GEREZANI KUKAGUA MWENYEWE, WANAIBA MAPATO SI HAYA

Автор: Millard Ayo

Загружено: 2021-04-19

Просмотров: 96104

Описание:

Waziri mkuu Kasim majaliwa ametembelea mradi wa usafiri Dar es salaam UDART (Mabasi yaendayo haraka) unaotoa huduma kati ya Gerezani kariakoo na mbezi wilaya ya ubungo na kukuta madudu mengi yakiwepo ya ukusanyaji wa nauli ambao haufanywi kwa ya kielekroniki na magari yao mengi kua mabovu huku vipuri vyake vikiwa havipo kwenye magari hayo.

Hayo ameyabaini baada ya kutembelea kituo cha mabasi yaendayo haraka (mwendokasi) cha Gerezani kariakoo na kukuta ukataji wa tiketi ukiwa unafanyika kwa njia ya kawaida tofauti na ulipaji kwa njia ya kieletroniki ambayo mapato yote yanakua katika mtandao na yanaweza kuwekwa katika kumbukumbu huku kwa miaka isiyopungua mitano kampuni ya UDART hawajawai nunua gari mpya wala kurekebisha mfumo wa ukatishaji kwa njia ya eletronik uanze kufanya kazi.

Akiwa katika karakana ya kurasini ya mabasi ya Mwendokasi UDART waziri mkuu Majaliwa amekuta magari ambayo ni mabovu yametolewa engine zake na vitu vingine huku mkurugenzi mtendaji wa UDART Leonard Lwakatare akimwambia waziri mkuu shida ni upande wa gia box.

MABASI YA MWENDOKASI YAMVURUGA WAZIRI MKUU, ATINGA GEREZANI KUKAGUA MWENYEWE, WANAIBA MAPATO SI HAYA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

Jeshi la polisi Tanzania lapiga marufuku maandamano ya Desemba 9. Katika Dira ya Dunia TV

Jeshi la polisi Tanzania lapiga marufuku maandamano ya Desemba 9. Katika Dira ya Dunia TV

WAZIRI MKUU AFOKA MBELE YA RPC NA RC AAGIZA ANAYETUHUMIWA KUMBAKA BINTI ASAKWE, MAMA AMWAGA MACHOZI

WAZIRI MKUU AFOKA MBELE YA RPC NA RC AAGIZA ANAYETUHUMIWA KUMBAKA BINTI ASAKWE, MAMA AMWAGA MACHOZI

Mwanzo Mwisho Hotuba ya Rais wa TLS Wakili Boniface Mwabukusi kwa Mawakili Wapya

Mwanzo Mwisho Hotuba ya Rais wa TLS Wakili Boniface Mwabukusi kwa Mawakili Wapya

WAZIRI MKUU AKASIRISHWA AMWASHIA MOTO MTUMISHI,

WAZIRI MKUU AKASIRISHWA AMWASHIA MOTO MTUMISHI, "MMEJENGAJE MILIONI 11 HII NYUMBA, SITOWAVUMILIA"

ODEMBA vs KAMANDA MULIRO - ''KAZI IMEKUSHINDA - KWANINI WATU WANAPOTEA? MMESHINDWA KUDHIBITI?''...

ODEMBA vs KAMANDA MULIRO - ''KAZI IMEKUSHINDA - KWANINI WATU WANAPOTEA? MMESHINDWA KUDHIBITI?''...

Kowalski: Tusk dostanie RÓZGĘ na Mikołajki! Internet pęka ze śmiechu! | Agora Klarenbacha

Kowalski: Tusk dostanie RÓZGĘ na Mikołajki! Internet pęka ze śmiechu! | Agora Klarenbacha

TUSK, BOGUCKI, MENTZEN. AFERA W SEJMIE WOKÓŁ KRYPTOWALUT I NAJLEPSZE FRAGMENTY

TUSK, BOGUCKI, MENTZEN. AFERA W SEJMIE WOKÓŁ KRYPTOWALUT I NAJLEPSZE FRAGMENTY

MAJALIWA ALIVYOMBANANISHA MTUMISHI ALIEVAA NGUO ZA KIJESHI,

MAJALIWA ALIVYOMBANANISHA MTUMISHI ALIEVAA NGUO ZA KIJESHI, "ULIHISI UTATOKA SALAMA, MCHUKUENI"

Dzisiaj Informacje Telewizja Republika 05.12.2025 | TV Republika

Dzisiaj Informacje Telewizja Republika 05.12.2025 | TV Republika

HII NDIO KAULI YA MKUU WA MKOA KUHUSU HUDUMA YA MAGARI YA  MBAGARA .

HII NDIO KAULI YA MKUU WA MKOA KUHUSU HUDUMA YA MAGARI YA MBAGARA .

Zatajone tożsamości. Fałszywe nazwiska, które zmieniły Polskę

Zatajone tożsamości. Fałszywe nazwiska, które zmieniły Polskę

Kogo wykluczył Czarzasty? | Wierzbicki i Biedroń mówią jak jest

Kogo wykluczył Czarzasty? | Wierzbicki i Biedroń mówią jak jest

WAZIRI AWESO Amtumbua MENEJA RUWASA, AKASIRIKA Kukuta MAJI HAYATOKI Kisa ELFU 50 -

WAZIRI AWESO Amtumbua MENEJA RUWASA, AKASIRIKA Kukuta MAJI HAYATOKI Kisa ELFU 50 - "TAFUTA KAZI"..

Chiny wezmą Tajwan? Xî Jinping chce decydować o pokoju na Ukrainie? — Bogdan Góralczyk i Zychowicz

Chiny wezmą Tajwan? Xî Jinping chce decydować o pokoju na Ukrainie? — Bogdan Góralczyk i Zychowicz

NAJGŁUPSZE WYPOWIEDZI POLITYKÓW O KRYPTOWALUTACH

NAJGŁUPSZE WYPOWIEDZI POLITYKÓW O KRYPTOWALUTACH

Bishop Askofu Gwajima|Aongea Juu Ya Muafaka Na Mustakabali Watanzania Kuelekea Uchaguzi Mkuu

Bishop Askofu Gwajima|Aongea Juu Ya Muafaka Na Mustakabali Watanzania Kuelekea Uchaguzi Mkuu

Jeśli nastąpi kryzys, banki i oszczędności będą pierwszymi, które ucierpią – analiza Buffetta

Jeśli nastąpi kryzys, banki i oszczędności będą pierwszymi, które ucierpią – analiza Buffetta

WAZIRI MKUU AKASIRIKA, AMUWEKA KATI MKURUGENZI UDART -

WAZIRI MKUU AKASIRIKA, AMUWEKA KATI MKURUGENZI UDART - "HUJANUNUA GARI Hata MOJA"

⚡Все утихли! Трамп ШОКИРОВАЛ заявлением по ВОЙНЕ. Послушайте, что выдал о ПУТИНЕ

⚡Все утихли! Трамп ШОКИРОВАЛ заявлением по ВОЙНЕ. Послушайте, что выдал о ПУТИНЕ

Как работает АВТОБЕТОНОНАСОС?

Как работает АВТОБЕТОНОНАСОС?

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]