Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Wakazi Morogoro watakiwa kujitokeza kwenye mashindano ya michezo ya Majeshi.

Автор: RS MOROGORO

Загружено: 2024-09-05

Просмотров: 2055

Описание:

Wakazi Morogoro watakiwa kujitokeza kwenye mashindano ya michezo ya Majeshi.

Wakazi wa Manispaa ya Morogoro na maeneo jirani wametakiwa kujitokeza na kuona Michezo ya Majeshi Tanzania  inayoanza kutimua vumbi Septemba 6 hadi 15,  2024, katika viwanja mbalinbali vilivyoko katika Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro.

Wito huo umetolewa leo Septemba 5, 2024 na Mwenyekiti wa BAMMATA Brigedia Jeneral Saidi Hamisi  Saidi wakati akiongea na waandishi wa habari kutoa taarifa rasmi ya mashindano hayo kufanyika Mkoani Morogoro.

Aidha, Brigedia Jenerali Saidi Hamisi Saidi amebainisha kuwa mgeni rasmi atakayezindua mashindano ya michezo hiyo ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla ambaye tayari amekwisha wasili Mkoani Morogoro.

Akifafanua zaidi, Brigedia Janeral Saidi amesema mashindano hayo yanashirikisha na kuyakutanisha majeshi ya kanda saba ambazo ni Ngome, (JWTZ) Magereza, Uhamiaji, Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Zimamoto na Uokoaji, Polisi,  pamoja na Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Akitoa wito kwa wananchi Kiongozi huyo amesema mashindano hayo hayatahusisha kiingilio chochote katika viwanja vya michezo vilivyoandaliwa ambapo ni viwanja vya Chuo Kikuu cha Kilimo (SUA), viwanja Umwema JKT, na viwanja vya Jamhuri, hivyo amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kuangalia na kufurahia burudani za michezo ya majeahi yao ambayo ni pamoja na mpira wa miguu, mpira wa pete, mchezo wa masumbwi, mpira wa wavu, mpira wa mikono, kurusha mkuki, kulenga shabaha, riadha na mchezo wa vishale.

"... Nichukue fursa hii niwakaribishe wananchi katika viwanja vyote tulivyo vitangaza isipokuwa kiwanja maalum kwa mchezo wa shabaha, viwanja vingine wananchi wanakaribishwa kwa wingi kabisa ili kuja kuona burudani mbalimbali.." amesisitiza Brigedia Jeneral Saidi.

Akieleza matarajio yake, Brigedia Jeneral Saidi amesema, baada ya kumalizika mashindano hayo anaamini watakuwa na timu bora itakayoweza kushiriki mashindano mbalimbali, lakini pia watakuwa wameboresha Afya za washiriki, kuimarisha umoja na mshikamano baina ya majeshi katika utendaji kazi wao.

MWISHO.

Wakazi Morogoro watakiwa kujitokeza kwenye mashindano ya michezo ya Majeshi.

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

MNYIKA ALIVYOMFANYA MBOWE ATIKISE KICHWA MSIBANI AKISIMULIA MKASA wa MZEE MTEI NDANI ya CHADEMA....

MNYIKA ALIVYOMFANYA MBOWE ATIKISE KICHWA MSIBANI AKISIMULIA MKASA wa MZEE MTEI NDANI ya CHADEMA....

FREEДOM. LIVE – Прямой эфир. Новости Украины и мира

FREEДOM. LIVE – Прямой эфир. Новости Украины и мира

RUBANI MDOGO MTANZANIA ANAYERUSHA NDEGE AFUNGUKA CHANGAMOTO ALIZOKUTANA NAZO AFRIKA KUSINI

RUBANI MDOGO MTANZANIA ANAYERUSHA NDEGE AFUNGUKA CHANGAMOTO ALIZOKUTANA NAZO AFRIKA KUSINI

Generali Venance Mabeyo amuaga Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Avitaka vyombo vya Ulinzi Kushirikiana.

Generali Venance Mabeyo amuaga Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Avitaka vyombo vya Ulinzi Kushirikiana.

Почки скажут вам: всего 1 стакан перед сном и ночные походы в туалет исчезнут | ПАМЯТЬ И МОЗГ

Почки скажут вам: всего 1 стакан перед сном и ночные походы в туалет исчезнут | ПАМЯТЬ И МОЗГ

NAIBU WAZIRI WA MICHEZO NA UTAMADUNI AYASHAURI MAJESHI.

NAIBU WAZIRI WA MICHEZO NA UTAMADUNI AYASHAURI MAJESHI.

ZIELIŃSKI Z GOLEM! CO ZA FORMA POLAKA! INTER PRĘŻY MUSKUŁY, PODPUŚCILI I SKASOWALI | SKRÓT

ZIELIŃSKI Z GOLEM! CO ZA FORMA POLAKA! INTER PRĘŻY MUSKUŁY, PODPUŚCILI I SKASOWALI | SKRÓT

⚡️Буданов СКАЗАЛ Трампу ЭТО ПРЯМО В ЛИЦО. КРОВНАЯ месть Кадырова за ЛЮБИМОГО сына НАЧАЛАСЬ

⚡️Буданов СКАЗАЛ Трампу ЭТО ПРЯМО В ЛИЦО. КРОВНАЯ месть Кадырова за ЛЮБИМОГО сына НАЧАЛАСЬ

John Mnyika Aeleza Namna Mzee Mtei Alivyogoma Alama ya Vidole Isiondolewe Kwenye Bendera ya CHADEMA

John Mnyika Aeleza Namna Mzee Mtei Alivyogoma Alama ya Vidole Isiondolewe Kwenye Bendera ya CHADEMA

⚡️Бледный Путин ВЫШЕЛ с обращением К ТРАМПУ! ОШАРАШИЛ диким ответом США. АСЛАНЯН, КАСЬЯНОВ. Лучшее

⚡️Бледный Путин ВЫШЕЛ с обращением К ТРАМПУ! ОШАРАШИЛ диким ответом США. АСЛАНЯН, КАСЬЯНОВ. Лучшее

РЫСЬ В ДЕЛЕ... Рысь против волка, койота, змеи, оленя!

РЫСЬ В ДЕЛЕ... Рысь против волка, койота, змеи, оленя!

Саудовская Аравия Перекачивает Миллиарды Литров Морской Воды по Гигантским Трубам в Пустыню!

Саудовская Аравия Перекачивает Миллиарды Литров Морской Воды по Гигантским Трубам в Пустыню!

Wojna w 2027? Były szpieg o Putinie, Trumpie i Polsce | Strefa Wpływów

Wojna w 2027? Były szpieg o Putinie, Trumpie i Polsce | Strefa Wpływów

JOHN MALECELA ALIVYOPONEA CHUPUCHUPU MBELE YA IDDI AMIN | TUJIKUMBUSHE..

JOHN MALECELA ALIVYOPONEA CHUPUCHUPU MBELE YA IDDI AMIN | TUJIKUMBUSHE..

Zimamoto yawaaga viongozi wastaafu

Zimamoto yawaaga viongozi wastaafu

KIONGOZI WA M23 ALIVOJIBU, TUNAPAMBANIA NCHI YETU, RWANDA HAITUSAIDII, JESHI LA DRC LINATUUZIA SILAA

KIONGOZI WA M23 ALIVOJIBU, TUNAPAMBANIA NCHI YETU, RWANDA HAITUSAIDII, JESHI LA DRC LINATUUZIA SILAA

HII NDIO KAULI YA MKUU WA MKOA KUHUSU HUDUMA YA MAGARI YA  MBAGARA .

HII NDIO KAULI YA MKUU WA MKOA KUHUSU HUDUMA YA MAGARI YA MBAGARA .

Горбачёв — НЕ ТОТ, за кого себя выдавал. Кто он на самом деле?

Горбачёв — НЕ ТОТ, за кого себя выдавал. Кто он на самом деле?

ЧАСТУШКИ ОТ УДАРНЫХ ДЕВИЦ! МУЖИКИ ЗАЦЕНЯТ!! ХИТ 2026!!!

ЧАСТУШКИ ОТ УДАРНЫХ ДЕВИЦ! МУЖИКИ ЗАЦЕНЯТ!! ХИТ 2026!!!

Дуглас Макгрегор: Почему НАТО конец и Украина проиграла войну

Дуглас Макгрегор: Почему НАТО конец и Украина проиграла войну

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: infodtube@gmail.com