Mwekezaji ajibu kwa jeuri malalamiko ya Wafanyabiashara Katoro ‘’KUNA SIASA HAPA KATIKATI’
Автор: MwangazaTV
Загружено: 2025-01-09
Просмотров: 1962
#mwangazatv
Mwekezaji wa jengo la kitega uchumi la CCM Katoro, Rashidi Sadick, amejibu malalamiko hayo kwa njia ya simu, ambapo pamoja na mambo mengine amesisitiza kuwa siyo yeye anayehusika na suala hilo na kwamba wafanyabiashara wanapaswa kutoa ushahidi wa madai yao.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: