TAZAMA WALICHOFANYA WATUMISHI WA CBE DODOMA NDANI YA SGR KUELEKEA SAFARI YA ZANZIBAR
Автор: CBE DODOMA CAMPUS
Загружено: 2024-09-26
Просмотров: 363
CBE NDANI YA SGR
Watumishi wa Chuo Cha Elimu ya Biashara kampasi ya Dodoma l tarehe 26/09/2024 wameanza safari kuelekea Zanzibar kwa ajili ya kufanya utalii wa ndani lakini pia kukitangaza Chuo hicho
Pichani ni watumishi wa Chuo hicho wakiongozwa na mkurugenzi wa kampasi hiyo Dkt. Kembo Bwana. Watumishi hao wamefurahishwa sana na usafiri huo kwani unaokoa muda na kurahisisha shuguli mbalimbali za uchumi kwa watanzania
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: