Amenitendea – Official Music Video | Ebenezer Choir | TAG Mbezi Galilaya Church
Автор: TAG GALILAYA CC MBEZI LUIS ONLINE TV
Загружено: 2026-01-26
Просмотров: 94
Wimbo “Amenitendea” ni ushuhuda wa shukrani na sifa kwa Mungu kwa mambo makuu aliyotutendea.
Video hii ni Official Video ya Kwaya ya Ebenezer kutoka Kanisa la TAG Mbezi Galilaya, Dar es Salaam.
Kupitia uimbaji huu, tunawahimiza waumini na watazamaji wote kutafakari wema, uaminifu na neema ya Mungu katika maisha yao.
📍 Kanisa: TAG Mbezi Galilaya
🎶 Kwaya: Ebenezer Choir
🎥 Aina: Official Music Video
Usisahau:
👍 Like
💬 Comment
🔔 Subscribe
na kushare injili kwa wengine.
Mungu akubariki
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: