SERIKALI YAIFUNGIA SHULE YA CHALINZE MODERN ISLAMIC
Автор: ELIMU TZ TV
Загружено: 2022-10-25
Просмотров: 1635
Serikali imeifungia Shule ya Awali na Msingi ya Chalinze Modern Islamic kuwa kituo cha Mitihani kutokana na udanganyifu uliofanyika katika Mtihani wa darasa la Saba uliofanyika Oktoba 5 na 6, 2022.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: