SUIT CUTTING JINSI YA KUKATA NA KUSHONA KOTI LA SUIT Part 1
Автор: Suitland Tailoring College
Загружено: 2023-07-07
Просмотров: 31748
WhatsApp Group link -- https://chat.whatsapp.com/GcKULJxgQFP...
Chapters;
0:00 Introduction
1:10 Kupima kitambaa
24:34 kukata Kitambaa
29:50 kukata facing
33:30 jinsi ya kukata mkono
Jinsi ya kukata na kushona koti la suti, video hii inafundisha jinsi ya kukata kitambaa cha koti, hapa utajifunza njia kubwa zinazotumiwa na waliobobea kwenye fashion ya ufundi wa nguo. Pia utajifunza formula kubwa ambazo hutumiwa kwenye ukataji wa koti, kwa video hii ukifata kama viloe ilivoelekeza basi inatosha sana wewe kuwa fundi, ila zingatia kufanya mazoezi ya ukataji wa aina hii tumia hata boxes kwaajili ya kujifunza.
Video hii ni Mali ya @suitland
Host: Imman Amos
Editor : Richard Mahendeka
©Suitland 2023.
kwa taarifa zaid To follow Instagram / suitlandtz
Na Facebook / suitland
kwa kujifunza video zingine angalia Playlist hapa chini
Jinsi ya kukatana kushona Suruali ya kike: • Jinsi Ya Kushona Suruali Ya KIKE
Kushona Shati Lenye Details: • Shati lenye details
Kushona Kaftan: • Kaftan yenye Details na Mikono mirefu
Kushona Suruali ya kiume: • SURUALI
Kushona Shati La kisasa: • Jifunze Kushona Shati
Kaftan ya kawaida : • Jifuze kushona KAFTAN
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: