FAHAMU VYAKULA VYA KUONDOA GESI TUMBONI
Автор: SukaMedia
Загружено: 2024-08-06
Просмотров: 30244
Watu wengi wamekuwa wakihangaika sana na matumbo yao kujaa gesi na pengine kuvimba.
Kwa njia moja au nyingine, unajikuta tumbo limechafuka kwa kujaa gesi, kuuma, na hata kuunguruma, na unahisi unahitaji kunywa dawa ili litulie.
Kabla ya kukimbilia kwenye tiba, ni vizuri kwanza kujua chanzo cha tatizo.
Leo nakuletea baadhi ya vyakula vya kula ili kuondoa tatizo hili.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: