MKUTANO DAY 04- LIVE.
Автор: EAGT mwangaza church Dodoma
Загружено: 2025-12-18
Просмотров: 57
Karibu EAGT Mwangaza – Kisasa, Dodoma!
Kanisa letu linaongozwa na Mchungaji John Mnong'one, likiwa sehemu ya kanisa la EAGT Tanzania. Tunampenda Mungu na tunawakaribisha watu wote kutoka kila kona ya maisha kuja kuabudu pamoja nasi.
Ratiba ya Ibada zetu:
📅 Jumatano na Ijumaa – Ibada za katikati ya wiki saa 10:00 jioni
📅 Jumapili:
⛪ Ibada ya Kiingereza – saa 1:30 asubuhi
⛪ Ibada Kuu – saa 4:00 asubuhi
⛪ Ibada ya Jioni – saa 10:00 jioni
Tunakukaribisha uwe sehemu ya kusanyiko letu la ibada, maombi, na neno la Mungu. Hapa ni mahali pa nuru, upendo, na uzima wa milele.
EAGT Mwangaza – Nuru Yako Iangaze
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: