Kwaya ya Msamaria Mwema – Wimbo wa Kusifu (Ibada ya Jumapili 05/10/2025)
Автор: Kwaya ya Msamaria Mwema KKKT - Oldonyo Sambu
Загружено: 2025-10-09
Просмотров: 140
Kwaya ya Msamaria Mwema ikiimba kwa uimbaji wa kusisimua katika ibada ya Jumapili tarehe 05/10/2025.
Wimbo huu umetia moyo na kuinua roho za waumini waliokuwa wakisifu Bwana kwa furaha kubwa. 🙌
Karibu utazame, upokee baraka kupitia sauti na uimbaji huu wa kipekee.
👉 Usisahau kulike, kushare na kusubscribe kwa nyimbo zaidi kutoka KKKT Oldonyosambu.
#KwayaYaMsamariaMwema #KKKT #IbadaYaJumapili #GospelTanzania #NyimboZaKusifu #KwayaZaKKKT #PraiseAndWorship #KanisaLaKKKT
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: