WAANDISHI WA HABARI WAJIONEA UWEKEZAJI WA MIRADI YA UMEME KAGERA NA GEITA
Автор: Tanescoyetu
Загружено: 2025-10-27
Просмотров: 95
Waandishi wa habari kutoka Mkoa wa Geita wametembelea na kujionea uwekezaji mkubwa uliofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita katika miradi ya umeme iliyotekelezwa mikoa ya Kagera na Geita, ikiwa ni hatua inayolenga kuboresha upatikanaji na uhakika wa umeme nchini.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: