SEHEMU YA TATU : Ukweli kuhusu KING VON Kwanini Lil Durk Alijuta Kumuokoa King Von?
Автор: Tricod Media
Загружено: 2025-06-03
Просмотров: 8839
NEXT: • KIFO cha KING VON: NBA YoungBoy,Quando Ron...
King Von hakuwa msanii wa kawaida. Alikuwa hadithi hai ya mitaa ya Chicago — kijana aliyepitia magereza, alishinda kesi ya mauaji, na akarudi mtaani akiwa maarufu zaidi. Katika simulizi hii ya kusisimua, tunafuatilia safari ya King Von: uhusiano wake wa karibu na Lil Durk, vita ya magenge na GetBackGang, pamoja na hatua yake ya mwisho ya kutaka kuachana na maisha ya uhalifu. Lakini je, aliweza kweli kuponyoka kivuli cha damu kilichomfuata?
⚠️ Video hii inasimulia matukio halisi yaliyoripotiwa kuhusu King Von. Tazama hadi mwisho ujue upande wa maisha ambao wengi hawajawahi kusikia.
🔔 Subscribe kwa simulizi zaidi za kusisimua kama hii!
#kingvon #hiphop #trending
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: