Taswira ya Mombasa yabadilika na kuwavutia kila kukicha
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2023-02-13
Просмотров: 13502
Mji wa Mombasa umetambulika kama kivutio cha utalii kwa miaka na mikaka, lakini miaka ya awali uchafu ulipelekea mji huo kutambulika kama mji usiovutia kutokana na uchafu. Lakini mabadiliko katika lango kuu la kaunti ya Mombasa sasa yameipa Sura mpya kaunti ya Mombasa kwani mzunguko wa makupa na Ujenzi wa daraja la makupa ni moja ya vivutio na maendeleo yanayorejesha hadhi ya mji huo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: