Utangulizi wa HTML kwa KISWAHILI | Jifunze Kutengeneza Tovuti kutoka Mwanzo
Автор: Swahili Coderz
Загружено: 2025-04-10
Просмотров: 70
Karibu!
Katika video hii, utajifunza Utangulizi wa HTML kwa lugha ya Kiswahili. HTML (HyperText Markup Language) ni lugha ya msingi inayotumika kutengeneza kurasa za tovuti. Tutaelewa:
✅ HTML ni nini
✅ Jinsi ya kuandika muundo wa msingi wa HTML
✅ Maelezo ya tags muhimu kama html, head, body, h1 hadi p
✅ Jinsi ya kuonyesha maandishi, vichwa vya habari, na viungo
Hii ni sehemu ya kwanza ya mfululizo wa masomo ya kutengeneza tovuti. Hakikisha unajiandikisha (subscribe) ili usikose vipindi vijavyo!
📌 Inafaa kabisa kwa wanaoanza (beginners) na wale wanaotaka kuelewa msingi wa web development.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: