MWANAMKE ANAYEONA MIUJIZA MINGI BILA WENGINE KUONA ,ASEMA ANAMUONA NYOKA MKUBWA ANGA YA DAR ES SALAM
Автор: Mkoi TV
Загружено: 2026-01-17
Просмотров: 4297
MWANAMKE ANAYEONA MIUJIZA MINGI BILA WENGINE KUONA ,ASEMA ANAMUONA NYOKA MKUBWA ANGA YA DAR ES SALAAM AKIWA AMEFUNGWA MINYORORO HUKU MACHO YAKE MEKUNDUUUU.
Ukistaajabu ya Musa lazima utakutana na ya Firauni tu, Ukisema hakuna kitu ambacho hujawahi kuona au kusikia kwenye ulimwengu huu UNATUKOSEA sana.
Mkoi Tv Online tunaendelea na kuwasogezea matukio adhimu yanayotokea nyuma ya pazia kwa lengo la wewe kujifunza, Lakini kubwa zaidi tunahitaji wwe uzidi kumuamini MUNGU kupitia haya matukio ya VIDEO zetu wanayokutana nayo wenzetu.
MAAJABU NI MENGI YA HUYU MWANAMKE.
1.ALIZALIWA AKIWA AMESHIKA MTI KIGANJANI KWAKE.
2.AKIKUONESHA KIDOLE CHAKE AKIWA AMECHUKIA, UMEISHA.
3.AMESHAISHI CHINI YA BAHARI, ASEMA KULE KUNA KARIAKOO KAMA HII YA DAR, MADUKA, MWENDO KASI, SGR.
4.ASEMA USIKU WA MANANE HUMUONA NYOKA MKUBWA SANA ANGANI AKIWA AMEFUNGWA MINYORORO AKIWA NA MACHO MEKUNDU.
5. APIGWA NA MAJINI HADI KUMVUNJA MIGUU SASA HATEMBEI.
MAISHA YAKE YANA MAPITO MAZITO. VIDEO HII HAPA
SHARE, SUBSCRIBE MKOI TV ILI ITUPE NGUVU YA KUENDELEA KUKULETEA MATUKIO ADHIMU KAMA HAYA, COMMENT AU WASILIANA NASI KUPITIA SIMU NAMBA +255713575718. IPO WHATS APP...!
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: