GWAJIMA AACHIA MKWAJU MWINGINE KWA MTENGENEZA VIRUSI
Автор: Josephat Gwajima RudishaTv
Загружено: 2020-04-05
Просмотров: 693086
Akiwa katika kanisani kwake siku ya Jumapili, Askofu Gwajima ameonesha kukasirishwa na kitendo cha mataifa ya magharibi pamoja na Ulaya kutaka kufanya majaribio ya chanjo ya COVID-19 kwa bara la Afrika.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: