Mawazo Yangu Si Kama Yenu | Wimbo (Isaya 55:8)
Автор: BIBLIA NA MIMI
Загружено: 2025-10-18
Просмотров: 8721
MAWAZO YANGU SI KAMA YENU – Isaya 55:8 (Wimbo wa Watoto)
Wimbo huu wa watoto unawafundisha kujua Neno la Mungu kutoka Isaya 55:8 – Maana mawazo yangu si mawazo yenu, wala njia zenu si njia zangu; asema BWANA.
Ni rahisi, wa furaha, na utawasaidia watoto kukumbuka andiko hili
#Isaya558 #NyimboZaWatoto #WimboWaKikristo #BibliaKwaWatoto
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: