HUYU NAIBU WAZIRI KWAGILWA ni KIVULI cha HAYATI MAGUFULI - ATOA SIKU 30 MKURUGENZI KAENDA MOROCCO!!!
Автор: Global TV Online
Загружено: 2026-01-19
Просмотров: 569
KWAGILWA AKASIRIKA JENGO TANGU 2024 HALIJAKAMILIKA - MKURUGENZI KAENDA MOROCCO - ''NATOA MWEZI 1''
Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI anayeshughulikia Elimu, Mhe. Reuben Kwagilwa (Mb), ametoa muda wa mwezi mmoja kwa uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha kuhakikisha unakamilisha ujenzi wa vyumba vya madarasa na maabara katika Shule ya Sekondari Kiutu, ambao umeanza tangu mwaka 2024 bila kukamilika.
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: