MAJI TAKA YAZUA TAHARUKI MAJENGO MOMBASA
Автор: Al Shifaa Television Kenya
Загружено: 2026-01-23
Просмотров: 900
Wakazi na wafanyabiashara wa Barnley na Msikiti Musa eneo la Majengo gatuzi dogo la Mvita, kaunti ya Mombasa, wamelalamikia hali mbaya ya mazingira inayosababishwa na maji taka yaliyojaa kinyesi yanayopita waziwazi mitaani.
Wanasema hali hiyo imeathiri biashara zao na kuhatarisha afya ya wakazi kutokana na uwezekano wa magonjwa hatari ya kuambukiza.
Wakazi hao wameilaumu serikali ya kaunti kwa uzembe na ufisadi, wakidai fedha za kuboresha mifumo ya kuondoa ya maji taka zilitolewa lakini hakuna hatua iliyochukuliwa.
#mombasa #nairobitrendingnews #news #reels #trending #kilifi #kenya
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: