Azam FC 1-2 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 10/04/2025
Автор: Azam TV
Загружено: 10 апр. 2025 г.
Просмотров: 244 462 просмотра
Yanga SC imelipa kisasi kwa kuitandika Azam FC mabao 2-1 kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi Dar es Salaam....
Yanga imepata mabao yake yote mawili kipindi cha kwanza kupitia kwa Pacome Zouzoua dakika 11 na Prince Dube dakika ya 34, huku Azam FC wakipata bao lao dakika ya 81.
Tazama magoli....

Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: