RAIS SAMIA KUZUNGUMZA NAVIONGOZI WAKUU WA JWTZ
Автор: Nipashe Digital
Загружено: 2025-12-15
Просмотров: 456
Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan, leo anakutana na viongozi wakuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika kikao cha ndani kinachofanyika Shule ya Kijeshi ya Ulinzi wa Anga (SKUA), mjini Tanga.
Kikao hicho ni cha kwanza cha Rais Samia na uongozi wa JWTZ tangu achaguliwe kuongoza nchi kwa muhula wa pili.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: