EXCLUSIVE: KIJANA MLEMAVU MUUZA MAYAI KIGOMA, “SITAKI KUWA OMBAOMBA, NILIANZA NA SHILINGI 9,000 TU!"
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2025-05-27
Просмотров: 41892
Abdallah Maliatabu ni kijana mwenye umri wa miaka 18 kutoka wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma, alipata ulemavu akiwa na miaka 8 kutokana na kuugua kwa muda mrefu, wengi walidhani safari yake ya maisha imeishia hapo lakini Abdallah aliamua kuwa tofauti.
Hii ni hadithi ya ujasiri, matumaini na juhudi zisizoisha. Karibu ufuatilie safari ya Abdallah kupitia macho ya ripota wako @allydreamz_tza wa AyoTV_ Kigoma.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: