🎬THAMANI | Filamu Fupi ya Kiswahili Itakayokugusa Moyoni
Автор: Quality Entertainment Studio
Загружено: 2026-01-17
Просмотров: 113
THAMANI ni filamu fupi ya Kiswahili inayogusa maisha halisi, ikionyesha jinsi thamani ya binadamu, maamuzi, na tamaa vinaweza kubadilisha hatima ya mtu na familia nzima.
Kupitia wahusika wenye hisia nzito na simulizi yenye mvutano, THAMANI inatupeleka kwenye safari ya maumivu, maamuzi magumu, na ukweli unaoishi miongoni mwetu kila siku.
Je, thamani ya mtu hupimwa kwa mali, heshima, au utu?
🎬 WA KILACHA FILMS & QUALITY ENTERTAINMENT STUDIO PRESENTS
🎥 Produced by: Imanuel wa Kilacha
🎬 Directed by: Ajeed Mdumbu
Filamu hii imelenga kuelimisha, kugusa hisia, na kufungua mjadala kuhusu thamani ya maisha na maamuzi tunayofanya kila siku.
👉 Usisahau:
👍 Like
💬 Comment
🔔 Subscribe kwa filamu na project zaidi za Kiswahili zenye ubora wa kimataifa.
#Thamani #FilamuFupi #FilamuYaKiswahili #WaKilachaFilms #ShortFilm #SwahiliFilm #QualityEntertainmentStudio
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: