UJENZI TENKI LA MAJI HINDUKI MASWA WAFIKIA ASILIMIA 90
Автор: samwel mwanga
Загружено: 2025-04-09
Просмотров: 73
KAZI ya ujenzi wa tenki kubwa la kuhifadhi maji lenye uwezo wa kubeba lita milioni mbili linalojengwa katika kijiji cha Hinduki wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu imefikia hatua ya asilimia 90, ikiwa ni sehemu ya juhudi za serikali kuboresha upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi.
Tenki hilo linajengwa chini ya usimamizi wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Mjini Maswa(MAUWASA) likiwa na lengo la kuhudumia wakazi wa mji wa Maswa ili waweze kupata huduma ya maji kwa masaa 24.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: