Alvella MUHIMBARE - MANUKATO ft Pin Pajo
Автор: Alvella Muhimbare Official
Загружено: 2025-09-05
Просмотров: 125595
chorus: Pokeya wimbo wangu toka mwoyoni mwangu, nimejawa shukurani kwa yote umetenda , wimbo huu bwana naomba pokea ili uwe manukato yaliyo bora
1.JEHOVAH JIREH ,JEHOVAH RAPHAH, we ndiwe mungu pekee nitaamini ,
jiwe kuu la pembeni , wewe ndiwe nguzo yangu nafikia hatima yangu ukiniongoza bwana
umeyajibu maombi yangu , umeyafuta machozi yangu , nakatika yale magumu yangu hukuniacha pekee
2.umekua kinga , umekua nguzo yangu hukuniacha baba ili niabike , nikiwa jangwani linipa maji nikanywa , ulinishika mukono hukuniacha nianguke
sinamashaka na uoga YESU ndiye mulinzi wangu katika unyonge wangu azidi kuwa mwaminifu
3.umeyasikia maombi yangu , umeyajibu maombi yangu nashukuru
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: