RAIS SAMIA ATOA TAHADHARI DESEMBA 9 TUMEJIPANGA WAKATI WOWOTE
Автор: MIMI ONLINE TV
Загружено: 2025-12-02
Просмотров: 5507
Rais #samiasuluhuhassan amesema "Ningekuwa na uwezo ningebeba vijana wa Tanzania niwapeleke kwenye nchi nyingine Afrika wakaone ugumu wa maisha ulivyo, mwenye ugumu wa maisha anaingiaje barabarabi kuimba. Wenye ugumu wa maisha wanahangaika kufanya kazi."
Amesisitiza vijana wasimezeshwe na wenyewe wakameza kila wanachoambiwa. #DarEsSalaam #KauliYaWazee #Tanzania #MaendeleoYaTaifa #UshauriWaWazee
#ViongoziNaWananchi #SautiYaWananchi #SamiaSuluhu #MustakabaliWaTanzania
"Haya yote ni matokeo ya kuwaacha vijana wetu wanakuwa wenyewe. Wanakuwa hawana mwelekeo, hawa watu wa kuongozwa na kwa maana hiyo hawana elimu ya uzalendo,"
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: