DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Desemba 23, 2024 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2024-12-23
Просмотров: 9993
DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Desemba 23, 2024 | Mchana | Swahili Habari leo
-Waombolezaji wameendelea kuweka maua kwa wingi, mishumaa na wanasesere au midoli, mbele ya kanisa la Johanneskirche, katika mji wa Magdeburg hadi mapema leo Jumatatu (Desemba 23), kufuatia wikendi ya maombolezo ya wahanga wa shambulio kwenye soko la Krismasi ambako watu watano waliuawa na wengine wengi walijeruhiwa.
#dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari.
Ukitaka kukupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: