MSINGI WA MAHUSIANO NI HISIA | Deo Sukambi
Автор: Deo Sukambi
Загружено: 2025-04-04
Просмотров: 791
Endelea kunifuatilia kwenye kupitia
/ deosukambi
/ deosukambi
/ deosukambi1
Usisahau ku subcribe kwa mafundisho zaidi
/ @deosukambi
Deo Sukambi is Counselor | Mentor | Public Speaker | Corporate trainer | Author
Msingi wa mahusiano ni hisia, Bila hisia hakuna muunganiko wa kweli kati ya watu, Mahusiano yanajengwa kwa kuelewana kihisia, Hisia huimarisha uaminifu na mshikamano, Upendo wa dhati hutokana na hisia za kweli, Ukosefu wa hisia huweza kudhoofisha mahusiano, Mawasiliano mazuri hutegemea kuelewa hisia za mwenzako, Hisia ndizo huleta faraja na usalama katika mahusiano, Bila hisia hakuna mapenzi yenye kina, Mahusiano yenye nguvu hujengwa kwa kuheshimu na kuthamini hisia za kila mmoja, Kuelewa hisia za mwenzako huimarisha uhusiano wa muda mrefu.
#DeoSukambi #UponyajiWaFamilia
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: