| MWANAMKE BOMBA | Fortinatah Mandi anahudumu katika kituo cha umeme Rabai
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2021-06-22
Просмотров: 9052
Leo katika makala ya mwanamke bomba tunamuangazia Fortinatah Mandi anayehudumu katika kituo cha kusambaza umeme cha KPLC huko Rabai. Ni mwanamke wa kwanza kuhudumu katika kitengo kinachoshughulikia umeme wenye nguvu ya juu zaidi. Amehudumu katika kampuni ya KPLC tangu mwaka 2005.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: