"TUTAHAKIKISHA MAISHA YA WANANCHI WA MBINGA MJINI YANAKUA BORA" MGOMBEA UBUNGE MARIO.
Автор: Big Star Online TV
Загружено: 2020-09-07
Просмотров: 462
Mgombea ubunge jimbo la Mbinga mjini kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mario Millinga amesema iwapo atachaguliwa kuwa mbunge wa jimbo hilo moja ya jambo ambalo atalifanya ni kuhakikisha maisha ya wananchi wa jimbo hilo yanakuwa bora kwa kuboresha sekta ya kilimo.
Mgombea huyo ameeleza hayo kwenye mkutano wa ufunguzi wa kampeni za chama hicho katika jimbo la Mbinga Mjini mkutano huo ambao umefanyika katika viwanja vya soko kuu la Mbinga.
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA BIG STAR TV ( +255 623 715536), ( +255 718 613054)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ THE KICK NA ADVERA MABIKI :
⚫️ Subscribe Big Star TV
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: