Sheria inasemaje AMBULANCE kutumia alama ya Msalaba Mwekundu
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2018-10-30
Просмотров: 1884
Leo October 30, 2018 tunayo story kuhusu matumizi ya nembo za RED CROSS, Katibu Mkuu wa RED CROSS nchini Tanzania, Julius Kejo ambapo amesema sio kila Ambulance inapaswa kutumia nembo ya Red Cross, hivyo mwisho wa siku zinaweza kubadilishwa.
Kejo amesema ni kweli Ambulance nyingi zimekuwa zikitumia alama ya Red Cross ikiwa ni tofauti na awali ambapo zilikuwa hazitumii isipokuwa vikosi vya Tiba vya Kijeshi.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: