TAFURANI Bungeni, sakata la bei ya MAHINDI, Spika ambananisha Bashe, Mbunge ataka Bunge liahirishwee
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2023-06-22
Просмотров: 32676
Sakata la kushuka kwa bei ya mahindi limeendelea kurindima Bungeni leo baada ya Mbunge wa Mbozi (CCM) George Mwenisongole kuomba bunge liahirishwe ili kujadili jambo hilo.
Sekkeseke hilo limepelekea Spika wa Bunge kutaka majibu kutoka kkwa Waziri wa kkilimo ambaye ameelekeza Wakulima wapeleke Mahindi yao NFRA ambayo inanunua mahindi hayo kwa kati ya Sh600 mpaka Sh800 Bungeni leo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: