Harusi ya John (Kitokololo) & Naomi”“Ndoto Yetu Imetimia |
Автор: kitokololo officiel TV
Загружено: 2025-08-29
Просмотров: 249
"Karibu kushuhudia siku yetu ya pekee – siku ambayo mimi, John (Kitokololo) na mke wangu mpendwa Naomi, tulifunga ndoa mbele ya Mungu, familia na marafiki.
Hii ni kumbukumbu ya furaha, upendo na baraka ambazo Mungu ametujalia. Tunashukuru kila mmoja aliyeungana nasi kusherehekea mwanzo wa safari hii mpya ya maisha yetu ya ndoa. Upendo wa kweli huja kutoka kwa Mungu, na tunamuomba atubariki
#HarusiYaKitokololoNaNaomi #LoveStory #JohnNaomiWedding #Ndoa #Baraka
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: