Namungo FC 1-1 Azam FC | Highlights | NBC Premier League 09/11/2025
Автор: Azam TV
Загружено: 2025-11-12
Просмотров: 5480
Azam FC na Namungo FC wamegawana alama baada ya kutoka sare ya bao 1-1 kwenye Dimba la Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi….
Waliotangulia kupata goli ni Azam FC kupitia kwa Idd Selemani Nado dakika ya 13, na Namungo kusawazisha dakika ya 65 kupitia kwa Fabrice Ngoyi….
Namungo pia walipata penati dakika ya , na kupigwa na Lucas Kikoti lakini ikaokolewa na golikipa Issa Fofana…
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: