"Nimemsema sana sikutaka acheze mpira"- Mama Mzazi wa Job aeleza maisha halisi ya mwanae Yanga
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2024-03-18
Просмотров: 35182
Cheza sasa kupitia https://shorturl.at/jqzU6 na ushinde
Umbali wa takribani kilomita 196 kutoka jijini Dar es Salaam hadi Morogoro. Ndiko Mwananchi Digital ilisafiri kwenda kuisaka historia ya mmoja wa mabeki hodari hapa nchini, Dickson Job.
Safari ya Mwananchi Digital inafikia kwa mama mzazi wa Job, Faraja Mwakabeta, ambaye anasema haikuwa kazi rahisi kwa mwanaye huyu kutimiza ndoto yake kwani amemsumbua sana hasa katika masuala ya masomo.
Kitasa huyu anayetambulika kwa jina la utani la 'Big Brain Defender' (beki mwenye akili kubwa), alianza kujulikana alipochaguliwa kuichezea Serengeti Boys (Timu ya Taifa ya vijana ya U-17 ambayo ilishiriki fainali za Mataifa ya Afrika (U-17) 2017 nchini Gabon) akiwa na klabu ya Mtibwa Sugar kabla ya kutua Yanga SC.
Mama Job anafunguka mengi kuhusu mwanaye tangu utotoni hadi sasa akiwa ni mmoja wa nyota muhimu kwenye kikosi cha Wanajangwani hao na nahodha msaidizi baada ya Bakari Mwamnyeto.
#samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: